GRIENZMANN ASEMA YEYE KUWAFIKIA MESSI, RONALDO BADO SANA

STRAIKA wa Atletico Madrid, Antoine Greizmann anaamini anapaswa kuwa na mataji ili kufikia levo za mastaa Lionel Mess na Cristian Ronaldo.

Greizmann anatajwa kuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka huu, licha ya winga Frank Ribery kudai kuwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 hajafikia kuitwa mchezaji bora.


“Sidhani kama nawafikia Messi na Ronaldo. Natakiwa kushinda mataji ili kuwafikia.”

No comments