GROIEZMANN AJISHUSHA MBELE YA RONALDO, LIONEL MESSI... asema wamemshinda mataji mengi na wanaendelea kushinda

NYOTA wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann amesema bado hajafikia matawi ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo  kwani wameshamshinda mataji mengi na wanaendelea kushinda.

No comments