GUARDIOLA ATHIBITISHA KUTOTANIA KUHITAJI HUDUMA YA HECTOR BELLERIN

KOCHA Pep Guardiola amethibitisha kuwa hatanii anaposema kuwa anamtaka staa wa Arsenal, Hector Bellerin.


Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Telegraph, sehemu kubwa ya mazungumzo ya Guardiola na viongozi wa Etihad imekuwa ni jinsi watakavyofanikisha mpango huo hapo Januari.

No comments