GUARDIOLA AWAASA MANCHESTER CITY “KUKAZA” ILI KUSAKA MAFANIKIO


KOCHA Pep Guardiola amesema Manchester City ni lazima waongeze umakini katika umaliziaji kama wanahitaji mafanikio katika Ligi Kuu England msimu huu.

No comments