HANNOVER YAMWINDA BEKI PER-MERTESACKER WA ARSENAL

BEKI wa kati wa Arsenal, Per-Mertesacker, yuko kwenye rada za klabu ya Hannover ya Ujerumani.


Hannover wanataka kumsajili mkali huyo ambaye aliwahi kukipiga klabuni hapo miaka kadhaa iliyopita.

No comments