IBRAHIMOVIC AKIRI KUCHEZA VIBAYA DHIDI YA LIVERPOOL LAKINI ATOA ONYO

MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, 35, amekubali kwamba hakucheza vyema dhidi ya Liverpool Jumatatu usiku lakini ameonya wanaowachukulia poa akisema wasubiri mwisho wa msimu Mei waone nani bingwa. 

No comments