JAHAZI Modern Taarab Jumamosi hii watakuwa Dumila, wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro katika onyesho bab kubwa lililondaliwa na kituo cha radio cha Planet FM cha mkoani humo.

Kundi hilo litarindima katika ukumbi wa Dumila Pub kilomita 69 kutoka Morogoro mjini.

Baada ya hapo Jahazi itarejea jijini Dar es Salaam ambapo itafanya onyesho lake la kufunga wiki ndani ya ukumbi wa Lunch Time, Manzese siku ya Jumapili.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac