JAVIER MASCHERANO ACHEKELEA MKATABA MPYA BARCELONA

JAVIER Mascherano, 32, ameeleza furaha yake kusaini mkataba mpya wa kumweka Barcelona hadi 2019 na amesema huo ni mkataba wake wa mwisho.

No comments