JOHN OBI MIKEL AMTAKA OLA KUITOSA ENGLAND NA KWENDA KURUDI KUKIPIGA NIGERIA

JOHN Obi Mikel amemtaka yosso mwenye kipaji cha Chelsea, Ola abadili uraia aichezee nchi yake ya asili ya Nigeria na aitose England ambayo amekuwa akichezea timu za vijana.

No comments