JORDAN LUKAKU ANYEMELEWA NA TOTTENHAM

TIMU ya Tottenham inamfuatilia mlinzi kinda wa Ubelgiji, Jordan Lukaku mwenye miaka 22, anayekipiga kwenye klabu ya Lazio ya Italia.


Lukaku ambaye ni mdogo wa mshambuliaji mahiri wa Everton, Romelu Lukaku, anacheza nafasi ya pembeni kushoto na amejizolea umaarufu mkubwa wa umakini dimbani.

No comments