KOCHA wa Manchester United Jose Mourinho amemwambia Wayne Rooney aondoke Old Trfford kama anataka kuendelea kucheza mara kwa mara huku klabu ya Shanghai SIPG ya China ikimpa ofa ya mshahara wa paundi mil 500,000 kwa wiki.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac