Habari

JOSE MOURINHO MATATANI …mdomo wake wamponza FA

on

Matamshi ya Jose Mourinho kuhusu uteuzi wa
mwamuzi anaeshabikia Manchester United Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu
England kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool utakaochezwa leo jumatatu
yatachunguzwa na Shirikisho la Mpira wa miguu nchini humo FA.
Mourinho amesema itakuwa vigumu kwa mwamuzi huyo kuchezesha vizuri
baada ya uteuzi wake kukosolewa.
“Mtu mmoja akiwa na lengo anaweka shinikizo kwak”, alisema Mourinho.
 Kwa kawaida makocha hawatakiwi
kuzungumza lolote kuhusiana na mwamuzi kabla ya mchezo.
FA inataka kuchunguza matamshi hayo kabla ya kuamua ni hatua gani
inaweza kuchukuliwa.
Uteuzi wa Taylor, umekosolewa na Kenith Hackett, mkuu wa Bodi ya
marefarii (Professional Game Match Officials Ltd.)

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *