JULIAN DRAXLER ADAI KUTAKA KUSEPA WOLFSBURG

KIUNGO mchezeshaji wa klabu ya Wolfsburg, Julian Draxler amedai kuwa anataka kuondoka klabuni hapo na hivyo ni habari nzuri kwa Arsenal ambao wamekuwa wakimfukuzia kwa kipindi kirefu.


Draxler amedai kuwa anataka kukiacha kikosi hicho na kucheza katika moja ya klabu kubwa za barani Ulaya.

No comments