JURGEN KLOPP AKOSOA UPANGAJI WA RATIBA YA LIGI KUU KIPINDI CHA KRISMASI

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amekosoa upangaji wa ratiba ya Ligi Kuu katika kipindi cha Krismasi, itakayowalazimisha kucheza mechi mbili (dhidi ya Manchester City na Sunderland), ndani ya saa 48, Mirror linaripoti.

No comments