JUVENTUS, AC MILAN VITANI KUWANIA SAINI YA KIUNGO OSCAR WA CHELSEA

VINARA wa Ligi ya serie A, Juventus na AC Milan wanapigana vikumbo kuwania saini ya kiungo wa Chelsea, Oscar.


Kiungo huyo wa Kibrazil yuko kwenye mpango wa kuitema klabu hiyo wakati wa dirisha dogo la Januari bada ya kutokuwa na imani ya kudumu katika kikosi cha kwanza.

No comments