JUVENTUS KUMPANDIA DAU UPYA NEMANJA MATIC DIRISHA LA USAJILI WA JANUARI

JUVENTUS wako tayari kufufua mipango yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Chelsea Nemanja Matic huku miamba hao wa Italia wakiwa tayari kutoa Euro mil 27 Januari.

No comments