KAMA HUJUI, WIKI ILIYOPITA ILIKUWA “SPESHO” KWA CHRISTIAN BENTEKE


STRAIKA Christian Benteke amesheherekea wiki nzuri kwa kufunga goli lililoweka rekodi ya bao la mapema zaidi katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia (sekunde 8.1), kabla ya kukamilisha ‘hat trick’ yake kwa Ubelgiji dhidi ya Gibbraltar Jumatatu na kisha Jumatano kuzaliwa kwa mtoto wake wa pili wa kike.

No comments