Habari

KAMA ULIKOSA ONYESHO LA TWANGA MANGO GARDEN TUPIA MACHO PICHA 20 HAPA

on

ONYESHO la Twanga Pepeta Jumamosi iliyopita pale Mango Garden
Kinondoni, ni moja ya maonyesho yao bora kwa mwaka kufanyika ndani ya ukumbi
huo.
Onyesho hilo lililopewa jina la usiku wa Jukwaa la Twanga,
lilihudhuriwa na mashabiki wengi kupita maelezo huku Twanga Pepeta wakiangusha
burudani safi iliyokwenda shule.
Wasanii wa bendi hiyo walikuwa nadhifu sana hususan wacheza show wa
kike ambao walipiga pamba kali zilizowafanya wawe kivutio jukwaani.
Msanii mwalikwa Msagasumu naye alikonga nyoyo za mashabiki kwa nyimbo zake kali za miondoko ya kiswazi.
Pata picha 20 za onyesho hilo lililolokuwa maalum kwa kuwakutanisha
pamoja marafiki wa Twanga Pepeta kupitia mitandao ya kijamii.
 Khalid Chokoraa akifanya mbwembwe zake
 Hajj BSS mmoja wa waimbaji waliofanya vizuri sana Jumamosi
 Jojoo Jumanne na bass lake
 Wanachama wa umoja wa mashabiki wa unajulikana kama Jukwaa la Twanga wakiwa katika picha ya pamoja
 Luizer Mbutu na Kalala Jr wakifanya yao
 Ally Chocky akitupia sauti adimu
 Kutoka kushoto Kamba Lufo kiongozi wa East African Melody akiwa na mkurugenzi wa studio za Fire Music Masoud Kandoro. Nyuma kushoto ni Komandoo Hamza Kalala na mmiliki wa Mango Garden Mzee Tairo
 God Kanuti
 Kaposhoo Tumba
 James Kibosho
 Luizer Mbutu
 Rajab Zomboko wa Radio One/ITV ambaye alikuwa ndiye MC wa onyesho hilo
 Msagasumu akipagawisha mashabiki
 Msagasumu akifanya yake na shabiki wake
 Victor Nkambi akipapasa kinanda cha Twanga
 Rogart Hegga Katapila
 Miraji Shakashia
 Asha Baraka akiwa na madansa wa Twanga
Haya ndiyo mauwa ya Twanga Pepeta

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *