KIPA JOE HART AIOMBA LIVERPOOL IMUUZE JUMLA TORINO

KIPA wa timu ya taifa ya England, Joe Hart, mwenye miaka 29, amenogewa Torino anakokipiga kwa mkopo.

Mchezaji huyo aliyekosa namba kwenye kikosi cha kwanza cha Pep Guardiola, amewaaga wenzake huku akiuomba uongozi ukubali kumuuza jumla Januari, mwakani badala ya kucheza kwa mkopo.


Westham walimsajili kwa mkopo kutokana na washambuliaji wake Andy Carroll na Diafla Sakho kuwa majeruhi na Zaza amewasaidia sana katika mechi alizocheza.

No comments