KLOPP APUUZIA "UVUMI" WA COUTNHO, CLYNE KUTAKIWA NA BARCELONA

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amepuuza ripoti kwamba Real Madrd na Barcelona zinawawania Philippe Coutinho na Nathaniel Clyne akisema hawaendi kokote licha ya kwamba ni ishara njema mtu kutakiwa na klabu kubwa kaka hiyo.

No comments