KOCHA ANCELOTTI AWATAKA WACHEZAJI WAKE WASIBWETEKE NA USHINDI WA 4-1 DHIDI YA PSV

KOCHA wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti amewataka wachezaji wake kuamka zaidi na kutobweteka na ushindi wa 4-1 dhidi ya PSV.

Bayern waliibuka na ushindi huo katika mchezo huo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, uloochezwa juzi kwenye uwanja wa Allianz Arena.


“Tunatakiwa kuwa kwenye ubora wetu katika michezo inayofuata ili kupambana na Atletico Madrid ili kuwania nafasi ya kwanza,” alisema Muitaliano huyo.

No comments