Habari

KOCHA MIKE PHELAN KUKABIDHIWA MIKOBA YA STEVE BRUCE

on

BAADA ya kuchukua kwa muda
kibarua cha Steve Bruce, kocha Mike Phelan anatarajiwa kukabidhiwa rasmi
kibarua hicho.

Baada ya mapumziko ya mechi za
kimataifa, wamiliki wa klabu hiyo wanataka kumpa mkataba mpya Phelan.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *