KOCHA RAFA BENITEZ AMBAKISHA KIUNGO VURNON ANITA NEWCASTLE UNITED

KIUNGO wa kimataifa wa Uholanzi, Vurnon Anita ametoboa siri kuwa alikaribia kuondoka Newcastle United lakini kocha Rafa Benitez ndiye aliyembakisha.


Nyota huyo amekuwa St. James Park tangu aliposajiliwa wakati wa majira ya kiangazi ya mwaka 2012 akitokea Ajax kwa ada ya pauni mil 6.7.

No comments