KOCHA TIMU YA TAIFA HISPANIA AWATOSA IKER CASILAS, FABREGAS, PEDRO RODRIGUEZ

ZAMA za Iker Casilas kwenye timu ya Taifa ya Hispania zinaonekana kufikia tamati baada ya kocha mpya Julen Lopetegui kumtosa pamoja na wakali wengine kama Cesc Fabregas, Pedro Rodriguez na Juanfran.

No comments