KOCHA WA BURNLEY AKWAMWISHA HARAKATI ZA CHELSEA KUMSAJILI BEKI MICHAEL KEANE

HARAKATI za klabu ya Chelsea kutaka kumsajili mlinzi wa Burnley, Michael Keane mwenye miaka 23, zimekutana na kigingi baada ya kocha wa Burnley, Sean Dyche kukataa kumuuza mchezaji huyo.

No comments