KOCHA WA CRYSTAL PALACE ATHIBITISHA MAJERUHI LOIC REMY KUREJEA DIMBANI DESEMBA

KOCHA wa Crystal Palace, Alan Pardew amesema mchezaji wake aliye majeruhi aliyesajiliwa kwa mkopo kutoka Chelsea, Loic Remy, atarejea dimbani Desemba, mwaka huu.


Alisema kuwa atapigania kusaka walau sare katika mechi watakazocheza kipindi hiki wanapowakosa mshambuliaji huyo na mwenzake Jonathan Benteke walio majeruhi. 

No comments