KOCHA WESTHAM AKIRI DIMITRI "AMEUMIZWA" NA MATOKEO MABOVU YA VIPIGO VITANO MUFULIZO

KOCHA wa West Ham Slaven Bilic ,29, amebainisha kuwa kiungo wa ushambuliajia Dimitri Payet amefadhaishwa na matokeo mabovu ya timu hiyo inayoshika nafasi ya 18 kufuatia vibondo vitano katika mechi sita.

No comments