LEBRON JAMES ATAMANI KUCHEZA NA DWYANE WADE

STAA wa timu ya mpira wa kikapu ya Clreveland, Lebron James amesema angependa kucheza na Dwyane Wade lakini isingewezekana.

James aliwahi kucheza na Wadewakati walipokuwa Miami Heat.

Wade alikuwa hulu wakati wa majira ya kiangazi lakini aliamua kujiunga klabu yake ya utotoni ya Chicago Bulls huku uhamisho wake ukigharimu Dolaza k8imarekani mil 47.


“Tusingeweza kumnunua,” alisema LeBrown.

No comments