LIL WAYNE AANZA KUJIKOMBAKOMBA KWA MTALAKA WAKE... amwomba warudiane akidai kuna vitu amevimisi

RAPA mahiri Lil Wayne ameanza kujikomba kwa mtalaka  wake Toya Wright akimuomba warudiane kwa madai kuna vitu amevimisi kutoka kwake.

Toya alifichua hayo akisema anamshangaa Lil Wayne kumtaka kipindi hichi ambacho taya\ri ameshaoa mke vmwingine Dhea.


“Ninamshangaa sana Lil Wayne kutaka turudiane eti kisingizio chake ni tupate kumtunza binti yetu regiana ananiambia mkwewe amechosha katika baadhi ya mambo na kwamba anajuta kuniacha hivyo anaomba nimsamehe,” alisema.

No comments