Habari

LIVERPOOL, MANCHESTER UNITED HAKUNA MBABE

on

Pogba continued in his advanced role at the tip of the United midfield and had a couple of efforts from range in the first half
Liverpool captain Henderson felt the force of Ibrahimovic, with the United forward at one stage brushing him aside
LIVERPOOL iliyokuwa ikipewa nafasi kubwa ya kuzoa pointi tatu katika mchezo wa Premier League dhidi ya Manchester United, ikajikuta ikiutumia vibaya uwanja wake wa nyumbani – Anfield na kulazimishwa sare tasa na vijana wa Jose Mourinho.
Katika mchezo huo uliochezwa Jumatatu usiku, Manchester United ilitawala kipindi cha kwanza huku Liverpool ikichanua zaidi kipindi cha pili.
Kipa wa Manchester United David de Gea ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo kwa kuokoa michomo mitatu iliyoelekezwa langoni mwake wakati kipa wa Liverpool Loris Karius akiwa hajajaribiwa hata mara moja.
Liverpool (4-3-3): Karius 6, Clyne 6.5, Matip 7, Lovren 7, Milner 6.5 (Moreno 86), Can 6.5, Henderson 6.5, Coutinho 7, Mane 6.5, Sturridge 5 (Lallana 60 6), Firmino 6.5 (Origi 85).
Unused subs: Grujic, Klavan, Lucas, Mignolet.
Manchester United (4-2-3-1): De Gea 8, Valencia 5, Bailly 6.5, Smalling 7, Blind 6, Fellaini, Pogba 5, Rashford 6.5 (Rooney 77), Ander Herrera 7.5, Young 7 (90+2), Ibrahimovic 5.5.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *