LUCA MODRIC AWASHUKURU WADAU KWA UPASUAJI WA GOTI ULIOFANIKIWA


UPASUAJI wa goti la kushoto aliofanyiwa kiungo wa Real Madrid, Luca Modric umefanikiwa na nyota huyo ambaye anahitaji muda kupona amewashukuru madaktari kwa juhudi walizofanya kufanikisha.

No comments