"MADUDU" YA SERGIO RAMOS YAMPA PRESHA KOCHA WAKE ZINEDINE ZIDANE

LICHA ya kufunga mabao matatu beki wa Real Madrid Sergio Ramos amempa presha Koch Zinedine Zidane kutokana na kufanya makosa mengi msimu huu.

Amecheza mechi 9 amesababisha Penalti ntatu na kula kadi za njano tano. Alinusurikapia kula nyekundu katika ushindi wa0 dhidi ya Espanyol.

No comments