MANCHESTER CITY KUMLAMBISHA FERNANDINHO MKATABA MPYA

KWA mujibu wa taarifa, ni siku chache tu zimebaki kabla ya kiungo Fernandinho kupewa mkataba mpya na mabosi wake Manchester City.


Mkataba wa sasa wa Mbrazil huyo wa Man City unakaribia kufikia tamati mwishoni mwa msimu huu.

No comments