MACNHESTER UNITED inatarajiwa kumpa mkataba mpya wa muda mrefu beki wake kinda Timothy Fosu-Mensah mwishoni mwa wiki ijayo.

Akiwa ndio kwanza ana umri wa miaka 18, beki huyo ameonyesha kiwango kiwango cha juu katika mechi za hivi karibuni hususan katika mchezo wa Europa League dhidi ya Zorya ambapo alichangia bao pekee lililofungwa na  Zlatan Ibrahimovic.
Manchester United expect to wrap up Timothy Fosu-Mensah’s new contract by next week
Manchester United iko mbioni kumpa mkataba mpya kinda Timothy Fosu-Mensah
The club are keen to ensure the defender's long-term future is at Old Trafford
Timothy Fosu-Mensah anachukuliwa kama hazina ya safu ya ulinzi ya Manchester United

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac