MANCHESTER UNITED YAIINGILIA SOUTHAMPTON KWENYE WINDO LA KIUNGO TIEMOUEBAKAYOKO WA MONACO

KLABU ya Southampton inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa Manchester United katika kuiwania saini ya kiungo wa Monaco, Tiemoue Bakayoko (22).


Kiungo huyo amekuwa na mwendelezo mzuri wa kiwango chake, hali inayovutia mawakala wa klabu hizi mbili za England kuchuana kuwania saini yake.

No comments