MARCO POROLO AKUBALI KUONGEZA MKATABA LAZIO

KIUNGO Marco Porolo amekubali kuongeza mkataba wa kuendelea kukipiga katika klabu yake ya Lazio.

Muitalia huyo ameseini mkataba mpya utakaombakisha klabuni hapa hadi mwaka 2020.

No comments