Habari

MASCHERANO AJITIA KITANZI BARCELONA HADI MWAKA 2019

on

The Argentine has won 17 trophies during his six years at the Nou Camp

JAVIER MASCHERANO ameamua kuzeekea Barcelona baada kuongozea mkataba wake wa kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka  2019.
Beki huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 32, amesaini mkataba huo mbele ya rais wa klabu Josep Maria Bartomeu na kuhitimisha makubaliano yaliyofikiwa tangu mwezi Julai.  
Mascherano ameichezea mechi 290 Barcelona tangu alipojiunga nayo miaka sita iliyopita akitokea Liverpool na kushinda mataji 17.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *