MATOKEO “YASIYOELEWEKA” LEICESTER CITY YAMPA UGONJWA WA MOYO CONTE


KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte amesema anahofia moyo wake na atafikiria kuvaa kifaa maalum cha kuagalia mapigo kutokana na matokeo ya kupanda na kushuka kwa timu yake msimu huu.  

No comments