MCHEZA TENISI ANDY MURRAY AKIRI NI NGUMU KUMFIKIA NOVAK DJOKOVIC

NYOTA Andy Murray amedai kuwa ana safari ndefu kumpiku mpinzani wake, Novak Djokovic anayeshika nafasi ya kwanza kwenye viwango vya ubora duniani.

Murray amesema kitendo cha kuchukua ubingwa wa Shanghai Masters hakimpi nafasi kubwa ya kuchukua nafasi ya Mselbia huyo.


Murray alichukua taji hilo baada ya kumchapa Roberto Bautista Agut katika mchezo wa fainali uliochezwa Jumatatu.

No comments