Teenager Marcus Rashford has been a revelation since emerging on the scene for United

BEKI wa Liverpool Nathaniel Clyne amekiri kuwa anamhofia sana mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford katika mchezo wa timu hizo mbili utakaochezwa leo usiku kwenye dimba la  Anfield.

Rashford mwenye umri wa miaka 18, amekuwa kwenye kiwango cha kutisha tangu alipoibuka kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha Manchester United msimu wa 2015/16.

Kulekea mchezo huo wa watani wa jadi, Clyne ambaye ndio kwanza anarejea uwanjani baada ya kuwa majeruhi, hakusita kuonyesha mashaka yake juu ya uwezo wa Rashford.
Clyne has recovered from injury in time to face fierce rivals United at Anfield
Clyne (kulia) amesema Rashford ni tishio
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac