MEMPHIS DEPAY AJIFANANISHA NA ZLATAN IBRAHIMOVIC

WINGA wa Manchestr United, Memphis Depay amejifananisha na straika mpya wa klabu hiyo, Zlatan Ibrahimovic.

Depay anajifananisha na mkongwe huyo licha ya kucheza mechi tatu pekee tangu kuanza kwa msimu huu.


Depay alitua Old Trafford akitokea Ajax kwa ada ya uhamisho wa pauni mil 25 lakini ameshindwa kuthibitisha ubora wake.

No comments