MESSI, SUAREZ, NEYMAR WACHAPWA MAKOFI NA WACHEZAJI WENZAO BARCELONA

MASTRAIKA watatu wa Barcelona, Messi, Suarez na Neymar maarufu kama “MSN” walichapwa makofi ya utani na wenzao juzi Ijumaa baada ya kushindwa zoezi la kupata mpira katika ‘chengesha bwege’ ya wote watatu.

No comments