MICHAEL ROBINSON AMWAMBIA KIPA WA BARCELONA "ACHA KUJIONA GARRINCHA WEWE"

STRAIKA wa zamani wa England, Michael Robinson amemchana kipa wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen kwa kupenda kutumia miguu baada ya kufungisha goli wikiendi, akimtuhumu kuwa anajiona yeye ni Garrincha.

No comments