MINO RAIOLA AFICHUA IBRAHIMOVIC ALIITEMA OFA YA EURO 100 KWENDA KUKIPIGA CHINA

ZLATAN Ibraimovic alikataa dau nono la thamani ya Euro mil 100 kutoka kwa klabu ambayo haitajwi jina kutoka China, kwa mujibu wa wakala wake, Mino Raiola.

No comments