MKE WA FABREGAS AKANUSHA UVUMI WA MUMEWE KWENDA AC MILAN

MKE wa kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, mwanadada Daniela Semaan ambaye hivi sasa ana ujauzito wa mtoto wao wa tatu amekanusha uvumi wa mumewe kwenda AC Milan akiandika: “Kumbe ni rahisi sana kupika stori siku hizi?”

No comments