MOURINHO KUMFUNGULIA MILANGO MORGAN JANUARI

KOCHA Jose Mourinho yuko tayari kumruhusu kiungo Morgan Scheneiderlin aondoke Manchester United Januari, baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa kupoteza namba Old Trafford.

No comments