MSANII MWINGEREZA OYINBO PRINCESS AAMUA KUJICHIMBIA HIMAYA NOLLYWOOD

MSANII kinda wa Uingereza mwenye mapenzi na Nollywood Claire Edun maarufu kama “Oyinbo Princess” mzaliwa wa Uingereza amekunwa na utamaduni wa Kiafrika hivyo anajichimbia himaya Nollywood.

Mwigizaji huyo chipukizi wa Nollywood amesema ili kukidhi matakwa yake, ameanza kujifunza lugha kadhaa za Kiafrika ikiwemo Kihausa.

No comments