MSHAMBULIAJI LAURENCE STEWART WA MANCHESTER CITY KULAMBA KIBARUA EVERTON

EVERTON wanajiandaa kumpa kazi mshambuliaji wa mechi wa Manchester City, Laurence Stewart.


Mpango huo unafanyiwa kazi na mkurugenzi wa michezo wa Everton, Steve Walsh ambaye aliwahi kufanya kazi  na Stewalt wakati wawili walipokuwa Hull.

No comments