MWIGIZAJI ROSE MCGOWAN AJITOKEZA KUMPINGA MGOMBEA URAIS MAREKANI

MWIGIZAJI mahiri wa Hollywood, Rose McGowan amejitokeza kumpinga mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republikan Donald Trump.

Rose mwenye miaka 43 amewataka watu kutompigia kura Trump ambaye amewatukana wanawake katika kampeni zake hivyo hafai kuingizwa ikulu kwa kura za wananchi.


Msanii huyo amefichua kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki wa Studio wakati akirekodi filamu.

No comments