MWANAMUZIKI anayefanya vizuri “Naija Flava” amedai kuwa licha ya kusaini mkataba na Roc Nation ya Marekani, hatosahau alikotoka.

Lebo hiyo kubwa nchini Marekani Roc Nation inamilikiwa na supastaa Jay Z.

“Nilipoingia kwenye muziki ilikuwa ngumu kwa watu kunijua ukiwa mwandishi wa habari unafanya kazi benki au nesi watu watakuzungumzia.”


“Ni wazi sitaki kusahau mizizi ya hapa najua kuna tabia ya kusahau nyumbani unapopata dili za nje sisi wasanii huwa tunasahau kuwa sababu ya kupata dili hizo ni kazi nzuri tulizofanya hapa nyumbani,” alisema.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac